6 Basi nahodha akamwendea, akamwambia, Una nini, Ewe ulalaye usingizi? Amka, ukamwombe Mungu wako; labda Mungu huyo atatukumbuka, tusipotee.
Kusoma sura kamili Yon. 1
Mtazamo Yon. 1:6 katika mazingira