2 Wakorintho 10:15 BHN

15 Basi, hatujivunii kazi waliyofanya wengine zaidi ya kipimo tulichopewa; ila tunatumaini kwamba imani yenu itazidi miongoni mwenu kufuatana na kipimo alichotuwekea Mungu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 10

Mtazamo 2 Wakorintho 10:15 katika mazingira