2 Wakorintho 10:14 BHN

14 Hatukuruka mipaka tuliyowekewa wakati tulipokuja kwenu. Sisi tulikuwa wa kwanza kuja kwenu tukiwaleteeni Habari Njema juu ya Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 10

Mtazamo 2 Wakorintho 10:14 katika mazingira