13 Lakini sisi hatutajivuna kupita kiasi; kujivuna huko kutabaki katika kile kipimo cha kazi aliyotukabidhi Mungu, kazi ambayo tunaifanya pia kwenu.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 10
Mtazamo 2 Wakorintho 10:13 katika mazingira