2 Wakorintho 12:14 BHN

14 Sasa niko tayari kabisa kuja kwenu mara ya tatu, na sitawasumbua. Maana ninachotafuta si mali zenu, bali ni nyinyi wenyewe. Ni kawaida ya wazazi kuwawekea watoto wao akiba, na si watoto kuwawekea wazazi wao.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12

Mtazamo 2 Wakorintho 12:14 katika mazingira