15 Mimi ni radhi kabisa kutumia nilicho nacho, na hata kujitolea mimi mwenyewe kabisa, kwa faida ya roho zenu. Je, mtanipenda kidogo ati kwa kuwa mimi nawapenda nyinyi mno?
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12
Mtazamo 2 Wakorintho 12:15 katika mazingira