2 Wakorintho 12:2 BHN

2 Namjua mtu mmoja Mkristo, ambaye miaka kumi na minne iliyopita alinyakuliwa mpaka katika mbingu ya tatu. (Sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; Mungu ajua).

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12

Mtazamo 2 Wakorintho 12:2 katika mazingira