2 Wakorintho 12:3 BHN

3 Narudia: Najua kwamba mtu huyo alinyakuliwa mpaka peponi. (Lakini sijui kama alikuwa huko kwa mwili au kwa roho; Mungu ajua).

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12

Mtazamo 2 Wakorintho 12:3 katika mazingira