2 Wakorintho 12:20 BHN

20 Naogopa, huenda nitakapokuja kwenu nitawakuta katika hali nisiyopenda, nami itanilazimu kuwa katika hali msiyoipenda. Naogopa huenda kukawa na ugomvi, wivu, uhasama, ubishi, masengenyo, kunongona, majivuno na fujo kati yenu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12

Mtazamo 2 Wakorintho 12:20 katika mazingira