2 Wakorintho 12:21 BHN

21 Naogopa huenda hapo nitakapokuja safari ijayo Mungu wangu atanifanya niaibike mbele yenu, nami nitaomboleza kwa ajili ya wengi wa wale waliotenda dhambi lakini hawakujuta huo uchafu, tamaa zao mbaya na uzinzi waliokuwa wamefanya.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12

Mtazamo 2 Wakorintho 12:21 katika mazingira