2 Wakorintho 12:7 BHN

7 Lakini, kusudi mambo haya makuu niliyofunuliwa yasinifanye nilewe majivuno, nilipewa maumivu mwilini kama mwiba, mjumbe wa Shetani mwenye kunipiga, nisijivune kupita kiasi.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 12

Mtazamo 2 Wakorintho 12:7 katika mazingira