2 Wakorintho 7:14 BHN

14 Mimi nimewasifu sana mbele yake, na katika jambo hilo sikudanganyika. Tumewaambieni ukweli daima, na kule kuwasifia nyinyi mbele ya Tito kumekuwa jambo la ukweli tupu.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 7

Mtazamo 2 Wakorintho 7:14 katika mazingira