2 Wakorintho 7:15 BHN

15 Hivyo upendo wake wa moyo kwenu nyinyi unaongezeka zaidi akikumbuka jinsi nyinyi nyote mlivyo tayari kutii, na jinsi mlivyomkaribisha kwa hofu nyingi na kutetemeka.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 7

Mtazamo 2 Wakorintho 7:15 katika mazingira