12 Maana huduma hii takatifu mnayoifanya si kwamba itasaidia mahitaji ya watu wa Mungu tu, bali pia itasababisha watu wengi wamshukuru Mungu.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 9
Mtazamo 2 Wakorintho 9:12 katika mazingira