13 Kutokana na uthibitisho unaooneshwa kwa huduma hii yetu, watu watamtukuza Mungu kwa sababu ya uaminifu wenu kwa Habari Njema ya Kristo mnayoiungama, na pia kwa sababu ya ukarimu mnaowapa wao na watu wote.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 9
Mtazamo 2 Wakorintho 9:13 katika mazingira