3 Basi, nimewatuma ndugu zetu hao, ili fahari yetu juu yenu ionekane kwamba si maneno matupu, na kwamba mko tayari kabisa na msaada wenu kama nilivyosema.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 9
Mtazamo 2 Wakorintho 9:3 katika mazingira