4 Isije ikawa kwamba watu wa Makedonia watakapokuja pamoja nami tukawakuta hamko tayari, hapo sisi tutaaibika – bila kutaja aibu mtakayopata nyinyi wenyewe – kwa sababu tutakuwa tumewatumainia kupita kiasi.
Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 9
Mtazamo 2 Wakorintho 9:4 katika mazingira