2 Wakorintho 9:5 BHN

5 Kwa hiyo, nimeona ni lazima kuwaomba hawa ndugu watutangulie kuja kwenu, wapate kuweka tayari zawadi yenu kubwa mliyoahidi; nayo ioneshe kweli kwamba ni zawadi iliyotolewa kwa hiari na si kwa kulazimishwa.

Kusoma sura kamili 2 Wakorintho 9

Mtazamo 2 Wakorintho 9:5 katika mazingira