Luka 1:35 BHN

35 Malaika akamjibu, “Roho Mtakatifu atakushukia, na uwezo wake Mungu Mkuu utakujia kama kivuli; kwa sababu hiyo, mtoto atakayezaliwa ataitwa Mtakatifu, Mwana wa Mungu.

Kusoma sura kamili Luka 1

Mtazamo Luka 1:35 katika mazingira