Luka 1:36 BHN

36 Ujue pia kwamba hata Elisabeti, jamaa yako, naye amepata mimba ingawa ni mzee, na sasa ni mwezi wa sita kwake yeye ambaye watu walimfahamu kuwa tasa.

Kusoma sura kamili Luka 1

Mtazamo Luka 1:36 katika mazingira