Luka 10:34 BHN

34 Akamwendea, akamtibu majeraha yake kwa kumtia mafuta na divai na kuyafunga; halafu akampandisha juu ya punda wake, akampeleka katika nyumba moja ya wageni akamwuguza.

Kusoma sura kamili Luka 10

Mtazamo Luka 10:34 katika mazingira