35 Kesho yake akatoa fedha dinari mbili akampa yule mwenye nyumba, akamwambia, ‘Mwuguze mtu huyu; na chochote utakachotumia zaidi, nitakulipa nitakaporudi.’”
Kusoma sura kamili Luka 10
Mtazamo Luka 10:35 katika mazingira