Luka 11:29 BHN

29 Umati wa watu ulipozidi kuongezeka, Yesu akawaambia, “Kizazi hiki ni kizazi kiovu. Kinataka ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ishara ya Yona.

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:29 katika mazingira