30 Jinsi Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninewi, ndivyo pia Mwana wa Mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.
Kusoma sura kamili Luka 11
Mtazamo Luka 11:30 katika mazingira