Luka 11:52 BHN

52 “Ole wenu nyinyi waalimu wa sheria, kwa sababu mmeuficha ule ufunguo wa mlango wa elimu; nyinyi wenyewe hamkuingia na mmewazuia waliokuwa wanaingia wasiingie.”

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:52 katika mazingira