Luka 11:53 BHN

53 Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na waalimu wa sheria walianza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi

Kusoma sura kamili Luka 11

Mtazamo Luka 11:53 katika mazingira