Luka 15:29 BHN

29 Lakini yeye akamjibu: ‘Kumbuka! Miaka yote nimekutumikia, sijavunja amri yako hata mara moja. Umenipa nini? Hujanipa hata mwanambuzi mmoja nikafanye sherehe pamoja na rafiki zangu!

Kusoma sura kamili Luka 15

Mtazamo Luka 15:29 katika mazingira