Luka 15:30 BHN

30 Lakini mtoto wako huyu aliyekula mali yako pamoja na makahaba, mara tu alipokuja umemchinjia yule ndama mnono.’

Kusoma sura kamili Luka 15

Mtazamo Luka 15:30 katika mazingira