Luka 20:10 BHN

10 Wakati wa mavuno, mtu huyo alimtuma mtumishi wake kwa wale wakulima, akachukue sehemu ya matunda ya shamba la mizabibu. Lakini wale wakulima wakampiga mtumishi huyo, wakamrudisha mikono mitupu.

Kusoma sura kamili Luka 20

Mtazamo Luka 20:10 katika mazingira