Luka 20:9 BHN

9 Yesu akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alilima shamba la mizabibu, akalikodisha kwa wakulima; kisha akasafiri hadi nchi ya mbali, akakaa huko kwa muda mrefu.

Kusoma sura kamili Luka 20

Mtazamo Luka 20:9 katika mazingira