19 Waalimu wa sheria na makuhani wakuu walifahamu kwamba mfano huo ulikuwa unawahusu, na hivyo walitaka kumkamata palepale, ila tu waliogopa watu.
Kusoma sura kamili Luka 20
Mtazamo Luka 20:19 katika mazingira