Luka 20:20 BHN

20 Basi, wakawa wanatafuta wakati wa kufaa. Wakawahonga watu fulani wajisingizie kuwa wema, wakawatuma wamnase Yesu kwa maswali, na hivyo waweze kumtia nguvuni na kumpeleka kwa wakuu wa serikali.

Kusoma sura kamili Luka 20

Mtazamo Luka 20:20 katika mazingira