Luka 22:51 BHN

51 Hapo, Yesu akasema, “Acha! Hii inatosha.” Akaligusa sikio la mtu huyo, akaliponya.

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:51 katika mazingira