Luka 22:52 BHN

52 Kisha Yesu akawaambia makuhani wakuu, wakubwa wa walinzi wa hekalu na wazee waliokuja kumkamata: “Je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyanganyi?

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:52 katika mazingira