Luka 22:53 BHN

53 Nilipokuwa pamoja nanyi kila siku hekaluni hamkunitia nguvuni. Lakini, huu ndio wakati wenu hasa, ndio wakati wa utawala wa giza.”

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:53 katika mazingira