55 Moto ulikuwa umewashwa katikati ya ua, nao wakawa wameketi pamoja, naye Petro akiwa miongoni mwao.
Kusoma sura kamili Luka 22
Mtazamo Luka 22:55 katika mazingira