Luka 22:56 BHN

56 Mtumishi mmoja wa kike alipomwona Petro ameketi karibu na moto, akamkodolea macho, akasema, “Mtu huyu pia alikuwa pamoja na Yesu.”

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:56 katika mazingira