70 Hapo wote wakasema, “Ndiyo kusema wewe ni Mwana wa Mungu?” Naye akasema, “Nyinyi mnasema kwamba mimi ndiye.”
Kusoma sura kamili Luka 22
Mtazamo Luka 22:70 katika mazingira