Luka 22:71 BHN

71 Nao wakasema, “Je, tunahitaji ushahidi mwingine? Sisi wenyewe tumesikia akisema kwa mdomo wake mwenyewe.”

Kusoma sura kamili Luka 22

Mtazamo Luka 22:71 katika mazingira