38 Yesu alitoka katika lile sunagogi, akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mmoja, mkwewe Simoni, alikuwa na homa kali; wakamwomba amponye.
Kusoma sura kamili Luka 4
Mtazamo Luka 4:38 katika mazingira