Luka 5:7 BHN

7 Wakawaita wenzao waliokuwa katika mashua nyingine waje kuwasaidia. Wakaja, wakazijaza mashua zote mbili samaki, hata karibu zingezama.

Kusoma sura kamili Luka 5

Mtazamo Luka 5:7 katika mazingira