Luka 5:8 BHN

8 Simoni Petro alipoona hayo, akapiga magoti mbele ya Yesu akisema, “Ondoka mbele yangu, ee Bwana, kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi!”

Kusoma sura kamili Luka 5

Mtazamo Luka 5:8 katika mazingira