Luka 7:24 BHN

24 Hapo wajumbe wa Yohane walipokwisha kwenda zao, Yesu alianza kuyaambia makundi ya watu juu ya Yohane: “Mlikwenda kutazama nini kule jangwani? Je, mlitaka kuona mwanzi unaotikiswa na upepo?

Kusoma sura kamili Luka 7

Mtazamo Luka 7:24 katika mazingira