Luka 7:25 BHN

25 Basi, mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona mtu aliyevaa mavazi maridadi? Wanaovaa mavazi maridadi na kuishi maisha ya anasa, hukaa katika majumba ya wafalme!

Kusoma sura kamili Luka 7

Mtazamo Luka 7:25 katika mazingira