Luka 8:15 BHN

15 Na zile zilizoanguka kwenye udongo mzuri ndio watu wale wanaolisikia lile neno, wakalizingatia kwa moyo mwema na wa utii. Hao huvumilia mpaka wakazaa matunda.

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:15 katika mazingira