Luka 8:25 BHN

25 Kisha akawaambia, “Iko wapi imani yenu?” Lakini wao walishangaa na kuogopa huku wakiambiana, “Huyu ni nani basi, hata anaamuru dhoruba na mawimbi, navyo vinamtii?”

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:25 katika mazingira