Luka 8:28 BHN

28 Alipomwona Yesu, alijitupa chini mbele yake na kusema kwa sauti kubwa, “We, Yesu Mwana wa Mungu Mkuu, una shauri gani nami? Ninakusihi usinitese!”

Kusoma sura kamili Luka 8

Mtazamo Luka 8:28 katika mazingira