Luka 9:10 BHN

10 Wale mitume waliporudi, walimweleza Yesu yote waliyoyafanya. Yesu akawachukua, wakaenda peke yao mjini Bethsaida.

Kusoma sura kamili Luka 9

Mtazamo Luka 9:10 katika mazingira