11 Lakini wale watu walipojua alikokwenda, walimfuata. Yesu akawakaribisha akawazungumzia juu ya ufalme wa Mungu, akawaponya wale waliohitaji kuponywa.
Kusoma sura kamili Luka 9
Mtazamo Luka 9:11 katika mazingira