12 Kisha, hao manabii wawili wakasikia sauti kubwa kutoka mbinguni ikiwaambia, “Njoni hapa juu!” Nao wakapanda juu mbinguni katika wingu, maadui zao wakiwa wanawatazama.
Kusoma sura kamili Ufunuo 11
Mtazamo Ufunuo 11:12 katika mazingira